Mwonekano wa sasa wa Merlin

Wengi wanamfahamu kama Merlin, lakini jina lake halisi ni Colin Morgan, mwigizaji shupavu kutoka Northen Ireland ambaye alizaliwa mwaka 1986, na tangu alipokuwa mtoto ndoto yake kubwa ilikuwa ni kuigia katika Sanaa ya uigizaji.
Mwaka 2008, akiwa na umri wa miaka 23 tu, Colin alipata nafasi ya kuigiza uhusika mkuu katika series ya televisheni kupitia Merlin ambayo ilidumu hadi mwaka 2012.

Kila kipande ambacho kilionesha kilimpa umaarufu mkubwa si tu Uingereza bali duniani kote. Filamu hiyo haikuwa mwanzo bali ikikuwa ni mlango wake wa kuingia kwenye ulimwengu wa filamu.
Leo hii, akiwa na umri wa 40 (2026), Colin amejipatia heshima na mafanikio makubwa kutokana na kuhusika wake wa Merlin. Filamu na mashirika ya televisheni yameendelea kumtambua kama mwigizaji ambaye hubeba uhusika pamoja na kuwa na ubunifu mkubwa.
Zaidi ya umaarufu, Merlin ilimpa Colin fursa ya kushirikiana na waigizaji wakubwa na kuendeleza taaluma yake ya uigizaji kwa kiwango cha kimataifa.
Namna alivyopata dili kwenye Merlin
Baada ya kumaliza masomo yake ya uigizaji katika chuo cha Royal Scottish Academy of Music and Drama, Colin Morgan alijiunga katika vikundi vya mtaani ambavyo vilikuwa vikifanya maigizo katika matamasha.
Wakati Colin Morgan akiendelea na shughuli zake za uigizaji na kujenga kipaji chake, ndipo ikatokea fursa ya kipekee. Waandaji wa Merlin walitangaza audition kwa ajili ya kuwapata vijana walio na uwezo wa kuigiza mhusika mkuu wa kipindi hicho. Colin alijitosa, akijitahidi sana na kuonyesha kiwango chake cha juu cha uigizaji.

Hatua hiyo iliwashangaza waandaaji wa filamu hiyo akiwavutia kwa umahiri wake katika kuigiza na namna alivyovaa uhusika wa Merlin ambaye ndiye muhusika mkuu.
Kupitia Merlin alishinda tuzo kama Best Actor kwenye Virgin Media TV Awards 2012, 2013 alishinda tuzo ya Drama Performance: Male kwenye National Television Awards pamoja na Best Actor kwenye SFX Awards.

No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.