-->

Breaking News

Mfahamu Jacques Ndjoli jamaa anayepiga picha maeneo ya kipekee tu

 Mfahamu Jacques Ndjoli jamaa anayepiga picha maeneo ya kipekee tu

Siku zote ubunifu huleta upekee. Hilo linajionesha kwa Jean Jacques Ndjoli mbunifu wa picha kutokea jijini Paris, ambaye amejipa utofauti kwa kupiga picha katika maeneo ya kipekee.



Ndjoli ameshapiga picha kwenye maeneo zaidi ya kumi na moja ikiwemo,

*Luyang Lake, Yanghzou, China,
*TeamLab Phenomena, Abu Dhabi, UAE
*Incense Village, Hanoï, Vietnam
*Wat Rong Khun, Chiang Rai, Thailand
*Shibuya S Monument, Shibuya, Tokyo


*Sidi Moussa Tannery, Fès, Morocco
*Abrahamic Family House, Abu Dhabi
*Reynisfjara Black Sand Beach, Iceland
*Future Museum, Dubai, UAE
*SeaWorld, Abu Dhabi, UAE
*La Muralla Roja, Calpe, Spain




No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

🔔 Enable Notifications

Get latest songs and entertainment updates instantly.