
Jonathan Ikangalombo Kapela ameondoka Yanga
Baada ya kudumu jangwani kwa miezi sita,hatimae Yanga kuachana na Ikangalombo.
Winga huyo amepafomu chini ya kiwango na Yanga wameamuwa kumpa mkono wa kwa heri
Rasmi Ikangalombo anakwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine