
Kennedy na Yanga Kwisha Habari Yake, Ila Mwamba Kaondoka na Rekodi za Kutisha
Mshambuliaji wa Young Africans Raia wa Zambia Kennedy Musonda ameondoka Yanga SC Rasmi baada ya mkataba wake kumalizika mwisho wa msimu.
Musonda alijiunga na Young Africans akitokea Power Daynamos ya kwao Zambia mwaka 2023 ametumu ndani ya Young Africans kwa misimu miwili na nusu (2.5)

Musonda amefanikiwa kufunga mabao 34 na kutoa pasi za magoli Assist 13 ndani ya Yanga SC
Kennedy Musonda leaves Young Africans after the end of his contract.
The Zambian striker departs with an impressive record:
3 League Titles
3 Domestic Cups
2 Community Shields
CAF Confederation Cup Runner-Up
34 Goals
13 Assists
2.5 SeasonsSeasons
All the best Kennedy Musonda
