
Mshambuliaji wa Singida Black Stars Jonathan Sowah (26) amekataa kubadili uraia kutoka taifa la Ghana na kuwa Mtanzania
Jonathan Sowah amethibitisha kupitia Asempa FM kuwa alifatwa na viongozi wa Serikali ya Tanzania wakimtaka abadili uraia na Jonathan Sowah aliwaambia kuwa bado azima yake ni kuendelea kuitumia timu ya taifa ya Ghana (Black Stars) na anafurahia kufanya hivyo.