A Zeno.FM Station Kwanini Chelsea inajirundikia wachezaji wengi vijana?

Kwanini Chelsea inajirundikia wachezaji wengi vijana?

 


rf

Chanzo cha picha,Getty Images

Maelezo ya picha

Winga wa Sporting, Geovany Quenda, 17, atajiunga na Chelsea mwaka 2026, wakati kiungo Dario Essugo, 20, atahamia msimu huu kuchukua nafasi ya Moises Caicedo.

Ripoti ya hivi karibuni ya Uefa ilitangaza kikosi cha Chelsea cha 2024, kuwa kikosi cha bei ghali zaidi kuwahi kusajiliwa. Ni 24% kikosi ghali kuliko rekodi ya Real Madrid ya 2020.

Ripoti hiyo pia inasema Chelsea imetumia karibu euro bilioni 2 (£1.7bn) kununua wachezaji katika kipindi cha miaka mitano hadi 2024. Na bado wanaendelea kununua.

Vijana wengine kadhaa wanasubiri kujiunga na Chelsea katika madirisha yajayo ya uhamisho, kwa ada ya zaidi ya pauni milioni 150 kwa jumla

Tags :-

Post a Comment

0 Comments