Manchester United Wakaribia Kumthibitisha Michael Carrick Kuwa Kocha Mkuu wa Kudumu
Manchester United Wakaribia Kumthibitisha Michael Carrick Kuwa Kocha Mkuu wa Kudumu
0 wanatarajiwa kumthibitisha rasmi 1 kuwa kocha mkuu wa kudumu kabla ya mchezo wa mwisho wa nyumbani wa msimu dhidi ya 2 utakaopigwa katika 3.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, Carrick anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi. Uamuzi huo umefikiwa baada ya kuiongoza Manchester United kumaliza katika nafasi ya tatu ya 4 na kufuzu kwa 5 msimu ujao.
Carrick, mwenye umri wa miaka 44, ameshinda mechi 10 kati ya 15 alizoiongoza timu tangu alipochukua nafasi ya kocha wa muda mwezi Januari. Mafanikio hayo yamewavutia viongozi wa klabu pamoja na mashabiki wa Mashetani Wekundu.
Msaidizi wake 6 naye anatarajiwa kupewa mkataba mpya kutokana na mchango wake mkubwa ndani ya benchi la ufundi.
Baada ya mchezo dhidi ya Nottingham Forest, Carrick atatoa hotuba maalumu kwa mashabiki wa Manchester United kuwashukuru kwa sapoti yao kubwa katika kipindi cha miezi minne aliyokaa madarakani.
Wakati huohuo, kiungo mkongwe 7 anatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho katika Old Trafford baada ya miaka minne ya kuitumikia Manchester United.
Uongozi wa Manchester United unaamini Carrick ndiye chaguo sahihi la kuiongoza timu kuelekea msimu mpya, huku ukilenga kurejesha klabu hiyo kwenye ushindani wa mataji makubwa England na Ulaya.

No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.