Azam FC Wamtambulisha Mshambuliaji Mpya Aimar Hafidh Abubakar - IDDYNATION SITE

Breaking News

Azam FC Wamtambulisha Mshambuliaji Mpya Aimar Hafidh Abubakar

 

Azam wamemtambulisha mshambuliaji wao mpya Aimar Hafidh Abubakar,kutoka Mlandege ya Zanzibar.
Aimar amesaini mkataba wa miaka mitatu na Azam,huku akinunuliwa kwa tsh 50m.

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.