A Zeno.FM Station Poor Performance Kutoka Kwa Elie Mpanzu, Fadlu Alikuwa Sahihi Kutaka Mchezaji X Factor

Poor Performance Kutoka Kwa Elie Mpanzu, Fadlu Alikuwa Sahihi Kutaka Mchezaji X Factor

 Poor Performance Kutoka Kwa Elie Mpanzu, Fadlu Alikuwa Sahihi Kutaka Mchezaji X Factor



Fadlu alisema anataka viongozi wamuongezee mchezaji mwenye X-factor kwenye eneo la mwisho,ambae anaweza kuamua mechi kubwa watu wakamuona kichaa.

Leo tena Mpanzu anathibitisha kuwa Siyo mchezaji wa mechi kubwa,sikumbuki Lini kawaka na kuamuwa mechi kubwa.


Poor performance Leo kutoka kwake

Tags :-

Post a Comment

0 Comments