MENEJA WA SIMBA SC ALIA NA WAAMUZI, WATAANZA KULETA WAAMUZI WA NJE ‘KIKANUNI’
“Hakuna asiyekubali kufungwa, ila kwa HAKI, TUTENDE HAKI!”
“Kanuni mpya ya msimu huu inaruhusu kutafuta wenye uweledi na uwezo nje ya Tanzania… UNATOA GOLI LA OFFSIDE, MCHEZAJI ANATOKEA KWENYE NAFASI YA KUOTEA NA KUCHEZA MADHAMBI UNAMUACHA, KIPA ANAKUELEZA UNAMPA KADI YA NJANO”
“Ni wakati sasa wa kutumia kanuni mpya!” Patrick Rwemamu