BREAKING 👇Lionel Ateba (26) amejiunga na klabu ya Al - Shorta ya Iraq 🇮🇶 kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba ScBaada ya ofa nyingi mezani, Ateba ameichagua Al - Shorta.Simba wamevuna $300K (Tshs 740m)Ateba Atashiriki Champions League ya Asia
No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.