𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦: LIONEL ATENA➡️AL TAI YA SAUDIA
Klabu ya saudia Al-Tai wamewasilisha ofa rasmi yenye thamani ya $400,000 kusaini lionel ateba kutoka simba sc-lakini ofa hiyo limekataliwa, kwani haikufikia kiasi wanacho taka simba $1M
Simba kama deal halitafanyika basi ateba atasalia hadi januari… lakini ateba ana hamu ya kwenda saudia, na vyanzo vya karibu na mchezaji vinatarajia Al-Tai kurudi na ofa nzuri lililoboreshwa hivi karibuni. 👀
Mazungumzo bado yamefunguliw