Klabu ya Azam FC imemtambulisha rasmi mlinda lango wao wa zamani Aish Salum Manula kama mchezaji wao kuelekea msimu ujao wa Ligi kuu na michuano mingine 2025/26.
Manula amesaini mkataba wa miaka mitatu (3) utakaotamatika mwaka 2028