Yanga Yatwaa Ubingwa Ligi Kuu, Yamfunga Simba 2 Bila

Yanga imetwaa ubingwa kwa kumchapa Mtani mechi zote mbili..
Ubora wa kikosi cha Yanga umewapa ubingwa.. Hongera Yanga kwa ubingwa.. Hongera Simba kwa kumpa Yanga ushindani mpaka dakika ya mwisho
Magoli ya Leo yamefungwa na Pacome na Clement Mzize
No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.