
BREAKING: Hatimaye Simba Wathibitisha Kucheza na Yanga Leo
Simba SC imetangaza kucheza mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaofanyika leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Simba kupitia ukurasa wake wa Instagram umeiainisha mechi hiyo kama ya mwisho ya Ligi, mchezo huo utapigwa saa 11:00 Jioni
Wakati huo huo Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally kupitia Instagram yake ameandika “Baada ya kushindwa kufanya Promotion ya mechi yao, Tumeibuka kuokoa jahazi“
Nani kashindwa kufanya promotion tena?