
Kuna vita kubwa sana kati ya Simba,Yanga na Azam kwa mshambuliaji wa Ivory Coastal,Célestin Ecua(23).
Msimu uliopita Ecua alifunga goli 11 za ligi huku akishika nafasi ya pili kwenye orodha ya wafungaji pale Ivory Coast.
Nyota huyo amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Zoman FC kwani msimu uliopita alicheza Asec kwa mkopo.
Timu tatu kubwa za Tanzania zinatoana udenda…..Simba wanamtumia Ahoua kumshawishi Ecua