
BREAKING NEWSYanga wamekamilisha usajili wa kiungo hatari wa Slovan Liberec ya jamhuri ya Czech,Mohamed Doumbia (26)
Kiungo huyo ni raia wa Ivory Coast
Doumbia ni kiungo namba #8 kwenye uwezo wa ku-scan na kupiga mashuti ya mbali.
Vita ya Doumbia ilikuwa kubwa ila kijana amekubali kujiunga na Yanga.
Tayari nyota huyo yuko Tanzania kujiandaa na msimu mpya.
Doumbia ni kijani na njano
Usajili wa kwanza wa Yanga