A Zeno.FM Station Baba Levo Achukua Fomu Kugombania Ubunge Jimbo Hili….

Baba Levo Achukua Fomu Kugombania Ubunge Jimbo Hili….


Msanii na Mtangazaji Clayton Revocatus Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ( @officialbabalevo ) , leo June 29 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025..

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Baba Levo kujitokeza kuwania kiti cha Ubunge ambapo amechukua fomu hiyo na kuirejesha leoleo baada ya dakika kumi na tano za kuijaza.

Baba Levo aliwahi kuwa Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini Mkoani Kigoma kupitia Chama cha ACT-Wazalendo kati ya mwaka 2015 hadi 2020.


Post a Comment

0 Comments