A Zeno.FM Station DJ Romy Jon’s Achukua Form ya Kugombea Udiwani..

DJ Romy Jon’s Achukua Form ya Kugombea Udiwani..


Romeo George @romyjons maarufu kwa jina la (RJ) ambaye ni ndugu wa nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya nchini, Naseeb Abdul (Daimondplatnumz) amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala jijini Dar Es Salaam.

RJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam.

RJ ni maarufu kwa kazi yake ya DJ wa Muziki ndani na nje ya Tanzania lakini pia ni Muigizaji wa Filamu nchini.


Post a Comment

0 Comments