Jonas Mkude Kutemana na Yanga....Wamekaa Mezani.. - IDDYNATION SITE

Breaking News

Jonas Mkude Kutemana na Yanga....Wamekaa Mezani..

 

Mchezaji wa Yanga Jonas Mkude anacheza msimu wake wa mwisho wa ligi kuu ya NBC akiwa na Yanga, kwani taarifa zinaeleza kuwa Mkude ataagana na wananchi mwishoni mwa msimu huu!!

Pande zote mbili zimeridhia makubaliano ni suala la muda tuu.

NB: KAZI NA UMRI👏

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.