Kutoka WCB Wasafi, msanii Zuchu amethibitisha kuwa msanii wakwanza wa kike Afrika Mashariki kupata wasikilizaji Milioni 7 katika App ya muziki ya Boom Play, ameandika Ig "Msanii wa Kwanza wa kike East Frica kufikisha Wasikilizaji 7,000,000 million on @boomplaymusic_tz , Asanteni sana kwa upendo huu usio elezeka Nawapenda sana ill keep working hard for you my supporters .Ndo kwanza Nimeanza we have a list to accomplish.I LOVE YOU"
#iddynationmedia