Fred Vunjabei "Tumeamua kudhamini Timu ya Lipuli Fc "
personIDDY AMAN
October 22, 2020
0
share
Kampuni Ya Vunjabei Group Limited Rasmi Imefanikisha Kuidhamini Klabu Ya Wanapaluhengo LIPULI FC Kutoka Iringa Pamoja Na Kuuza Jezi Za Klabu Hiyo
Kupitia Ukurasa Wa Instagram Wa C.E.O Wa @vunjabei @fred_vunjabei Ameandika ...''Tumeamua kuidhamini team ya LIPULI FC , wana Iringa mmeipokea vizuri sana VUNJABEI 🙌🙌 tunawashukuru''