Wizara ya Afya Nchini Morocco imeitaka Club ya Raja Casablanca kujiweka karantini ikiwa ni baada ya Wachezaji wake 9 kupimwa na kukutwa na Corona baada ya game ya nusu fainali vs Zamalek ya Misri.
Kwenye mechi hiyo Raja Casablanca walipoteza kwa goli 1-0 na watatakiwa kucheza mechi ya marudiano vs Zamalek Jumamosi hii nchini Misri.
#SPORTSUPDATE