Ujumbe wa Diamond Platnumz kuhusu kampeni na maandamano ya #EndSars nchini Nigeria, "Inasikitisha sana kuona kaka na Dada zetu wa Nigeria wanapitia wakati mgumu kama huu, Kinachoendelea Nigeria sio ubinadamu, Moyo wangu unavunjika juu ya ukatili ambao unafanyika, kizazi hichi kinapitia wakati mgumu sana, Ni wakati mwafaka kwa Umoja wa mataifa kusaidia, lakini pia kwa pamoja tunapaswa kuomba na kutetea kaka na dada zetu wa Nigeria"
#Endarsars
#iddynationmedia
iddnation.com