Vanessa Mdee athibitisha kuachana na Jux
Msanii
wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amethibitisha kuachana na mpenzi wake
Jux.Vanessa amethibitisha hilo kupitia Interview yake aliyofanya na
kituo cha redio nchini Nigeria cha Soundcity Radio. Muimbaji huyo
amebainisha kuwa kwa sasa kila mtu anaendelea na maisha yake.
“Ahh
mie na yeye tulikuwa ila sio tena na kila mtu ame-move on na maisha
yake,” ameeleza Vanessa. Hata hivyo mrembo huyo hajaeleza chanzo cha wao
kutengana.
No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.