-->

Breaking News

GOOD NEWS: Kwa waliomaliza Kidato cha Nne na Sita iwafikie hii

Najua ninao watu wangu wa nguvu ambao ama wao au watu wao wa karibu wamehitimu masomo ya Kidato cha Nne na Sita na wanatafuta Vyuo vya Elimu ya Juu ili kujiendeleza kimasomo.
Nimekutana na GOOD NEWS na ikufikie kwako pia taarifa hii kutoka St. John’s University of Tanzania (SJUT) ambayo nimekuwekea hapa chini.. 

ref millad ayo.com

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

🔔 Enable Notifications

Get latest songs and entertainment updates instantly.