Search This Blog

Search Suggest

BONGO FLAVOUR

AFRICA MUSIC

SPORT NEWS

ARTIST NEWS

📲 Pakua App yetu
Nyimbo & Habari za Bongo
INSTALL
X

Uche Montana Aatangaza “Monica 2” | Muendelezo wa Filamu Maarufu Unakuja 2026

Uche Montana athibitisha kuja kwa Monica 2 baada ya mafanikio ya Monica A True Life Story. Soma tarehe ya kuachiwa na taarifa kamili hapa.
alt="Uche Montana Monica 2 Nollywood movie sequel 2026"


Uche Montana Aatangaza Kuja kwa Monica 2

Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Nigeria Uche Montana amewafurahisha mashabiki wake baada ya kuthibitisha kuwa muendelezo wa filamu yake maarufu “Monica” upo tayari.

Kupitia video aliyoshare mtandaoni, Uche Montana alisema kuwa amekuwa akiona maombi ya mashabiki wake na sasa ameamua kuwajibu rasmi kuwa “Monica 2” inakuja.

Monica 2 Inakuja Rasmi

Mwigizaji huyo alieleza kuwa filamu hiyo tayari imerekodiwa na ipo katika hatua za mwisho kabla ya kuachiwa rasmi.

Aliwaomba mashabiki wawe na subira kidogo huku akiendelea kukamilisha maandalizi ya mwisho.

Mafanikio ya Monica

Filamu ya kwanza “Monica, A True Life Story” ilipata mafanikio makubwa baada ya kufikisha zaidi ya views milioni 16 ndani ya mwezi mmoja kwenye YouTube kupitia channel ya Uche Montana TV.

Kazi Zingine za Uche Montana

Mbali na Monica, Uche Montana ameonekana kwenye filamu mbalimbali kama:

  • A Place With You (2026)
  • Nine Months Till Forever
  • Hustle Code
  • Chaos to Calm
  • Love Pursuit

Tags:

Uche Montana, Monica 2, Nollywood Movies, Nigerian Films, YouTube Movies

Post a Comment

🔥 Related Posts

🔥 Related Posts