-->

Breaking News

Martha Mwaipaja Atangaza Kuacha Kuimba Mziki wa Injili

 

Martha Mwaipaja Atangaza Kuacha Kuimba Mziki wa Injili
Martha Mwaipaja Atangaza Kuacha Kuimba Mziki wa Injili

Habari za wasanii leo 2026 

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Martha Mwaipaja ametangaza kuacha kuimba kwa muda usiojulikana, hii ni mara baada ya sakata linaloendelea baina yake na muimbaji mwenzake wa nyimbo za Upendo Nkone.

Kupitia ukarasa wa Instagram amepost video hii na kuandika “kwa sasa limestone kuimba Moyo wangu uko vibaya sana mpaka pale nitakaa sawa haijalishi itachukua miaka mingapi, Mungu awabariki sana”

mziki mpya Tanzania

nyimbo mpya 2026

bongo flava mpya

habari za wasanii leo

matokeo ya mechi leo

simba vs yanga

diamond mpya

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

🔔 Enable Notifications

Get latest songs and entertainment updates instantly.