-->

Breaking News

Rekodi za makipa wenye hati safi NBC Premier League


Rekodi zinaonyesha kuwa namba moja kwa hati safi ndani ya NBC Premier League ni Djigui Diarra wa Yanga SC akiwa nazo 7.

Erick Johora wa Mashujaa yeye ni namba mbili kwa makipa wenye hati safi zakutosha akiwa ana hati safi 6.

Ally Salim wa Dodoma Jiji, Yona Amosi wa Pamba Jiji FC na Mussa Mbisa wa Tanzania Prisons kila mmoja ana hati safi 5.

Ni timu mbili pekee ambazo hazijapoteza mechi ndani ya msimu wa 2025/26 ambazo ni Yanga SC mabingwa watetezi wa ligi na Azam FC matajiri wa Dar.

Wababe hawa wawili wanatarajiwa kukutana Machi 15 itakuwa Azam FC vs Yanga SC, Uwanja wa Azam Complex

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

🔔 Enable Notifications

Get latest songs and entertainment updates instantly.