Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka la Senegal Abdoulaye Sow ameweka wazi msimamo wa Taifa lake la Senegal kuhusiana na maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya CAF ya kuwapa ubingwa wa AFCON 2025 Timu ya taifa ya Morocco.
“Kombe halitaondoka nchini! Shirikisho la soka Afrika limeoza, na majibu kutoka duniani kote baada ya uamuzi huu yanaonyesha hasira kubwa. Mapambano bado hayajaisha”.
“Nataka kuwahakikishia watu wote wa Senegal. Senegal iko upande wa haki na ushindi.”Amesema Sow.
Taarifa kutoka Nchini humo zinaeleza kuwa Senegal wamepanga kuongeza ulinzi kwenye kombe hil
Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.
Reviewed by IDDY AMAN
on
March 20, 2026
Rating: 5

No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.