-->

Breaking News

Fei Toto na Mzize Waongoza Kulipwa Pesa Nyingi Kwa Wachezaji Wazawa Tanzania

 Fei Toto na Mzize Waongoza Kulipwa Pesa Nyingi Kwa Wachezaji Wazawa Tanzania



MCHAMBUZI wa michezo Hans Rafael amesema kuwa "Mzize anabaki Yanga,tajiri amechoka kuwa mtumwa awamu hii anataka kushindana kimataifa."

"Ukweli ni kwamba Mzize ndo mchezaji ambae analipwa hela ndefu kuliko wote Yanga tsh 40m kwa mwezi na kwa wazawa ni wa pili nyuma ya Fei Toto ambae analipwa tsh 50m kwa mwezi,, Mpira unalipa sana"

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

🔔 Enable Notifications

Get latest songs and entertainment updates instantly.