
Mabingwa wa Ligi Kuu Nchini Algeria MC Alger wamewasilisha Rasmi ofa ya kutaka Kumsajili Kibu Denis Kutoka Simba SC.
Simba Wamethibitisha Kupokea Ofa hiyo
Kuanzia sasa menejimenti ya Simba SC itaketi kujadili na kutathmini ofa hiyo kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho.