A Zeno.FM Station Huyu Hapa Mwamba Kabisa Anayekuja Kuja Kuziba Nafasi ya Zimbwe Simba...

Huyu Hapa Mwamba Kabisa Anayekuja Kuja Kuziba Nafasi ya Zimbwe Simba...

 


Simba SC ipo katika hatua za mwisho za kumalizana na Beki wa kushoto wa kimataifa wa Mauritania Khadim Diaw mwenye Umri wa miaka 26.

Taarifa za Kuaminika Kutoka kwenye vyanzo Rasmi zinasema Khadim Diaw anakuja kuwa mbadala wa Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' Ambaye Anatarajiwa Kuondoka klabuni Hapo Baada ya Kushindwa kufikia makubaliano na Waajiri wake Simba SC.

Khadim anayesifika kwa Kasi, Uwezo wa kuzuia na Kupandisha mashambulizi kwa ufanisi Mkubwa Upande wa kushoto, Viongozi wa Simba wanaamini ndiye Mchezaji sahihi wa kuziba Nafasi ya 'Zimbwe Jr'

Tayari Khadim yupo Tanzania kumalizana na Simba SC kama Nilivyoripoti Hapo Awali.
Tags :-

Post a Comment

0 Comments