
Mchambuzi wa soka Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika
“Jambo limeisha,wakubwa wamepita nae,kijana ameichagua Yanga na amesinya jana,msimu ujao ni assist na magoli ya kutosha…..tukutane wiki ijayo.
Mguu wake wa kulia umebarikiwa sana”.