A Zeno.FM Station ALI Kamwe: Sio Jambo Jepesi Kushinda Mechi Dhidi ya Simba Kariakoo Dabi

ALI Kamwe: Sio Jambo Jepesi Kushinda Mechi Dhidi ya Simba Kariakoo Dabi

IDDY AMAN
0


Ali-KamweAli-Kamwe

“Si jambo jepesi kushinda mechi dhidi ya Simba SC, maana hata mechi ya mwisho tulihangaika sana kupata goli ila watu wajue sio jambo jepesi kuwafunga Simba SC ni jambo gumu na ndio maana tunajipanga sana.”

“Kwa dhati kabisa tunafahamu ukubwa na ugumu wa kupata matokeo lakini pia tunafahamu umuhimu wa hizo alama za mchezo wa Derby dhidi ya Simba SC.”

“Watu wa mpira mtakuwa mmeshaona utamu na uzuri wake wa kushinda Derby halafu unapewa Kombe.”

– Ali Kamwe, Afisa Habari wa Yanga SC.

Tags

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default