Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Liver, Arsenal na Man Utd zamtupia macho Morgan Gibbs
liverpool , Arsenal na Manchester United ni miongoni mwa klabu zinazoonyesha nia ya kumnunua kiungo wa kati wa Nottingham Forest na Uingereza Morgan Gibbs-White, 25. (Caughtoffside)
Chelsea inaweza kumruhusu Fernandez kujiunga na Madrid kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana kiungo wa kati wa Ufaransa Aurelien Tchouameni, 25, ambaye pia anaweza kucheza safu ya ulinzi. (Four Four Two)

No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.