A Zeno.FM Station Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Arsenal wanavutiwa na Sane

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Arsenal wanavutiwa na Sane

IDDY AMAN
0


 Arsenal wana nia ya kumsajili winga wa Ujerumani Leroy Sane kwa uhamisho wa bila malipo mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 wa Bayern Munich utakapokamilika msimu huu wa joto. (Christian Falk)

Mkurugenzi mpya wa kandanda wa Arsenal Andrea Berta anataka kumfanya kiungo wa kati wa Newcastle Brazil Bruno Guimaraes na kiungo wa kati wa Real Sociedad, 26 Martin Zubimendi kuwa usajili wake wa kwanza. (AS - in spanish)

Barcelona pia wanamuweka kiungo wa Newcastle Guimaraes kwenye orodha ya walengwa wa uhamisho wa majira ya joto. (Football Espana)

Liverpool imetuma maskauti kumtazama mlinzi anayecheza upande wa kushoto wa Ajax, Jorrel Hato, 19, ambaye amechezeshwa mara tano na Uholanzi. (Mail)

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default