habari zinasema kuwa rais wa Al Nasr SC ameondoka klabu hiyo kufuatia mabishano yaliyotokea ndani ya klabu. Hali hii imeongeza misukosuko katika timu hiyo ya Libya.
Kocha Miguel Gamondi Huko Alipo Mambo sio Shwari...Klabu Yashindwa Kumlipa
March 19, 2025
0
Tags