KAIZER CHIEFS WAMFUATA DJIGUI DIARRA - IDDYNATION SITE

Breaking News

KAIZER CHIEFS WAMFUATA DJIGUI DIARRA


  Klab ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini Imefungua mlango wa mazungumzo na Uongozi wa klab ya Young Africans ya Tanzania kuona kama wanaweza kumpata Mlinda lango huyo bora kwenye dirisha kubwa la usajili,

Kaizer chiefs hawajaridhishwa na ubora wa magolikipa wao wawili raia wa Rwanda Fiacre Ntwari na Raia wa Afrika kusini Bruce Bvuma walioruhusu mabao 24 kwenye michezo 20 ya ligi kuu, Mpaka siku ya Jana bado klab ya Young Africans ilikuwa haijajibu chochote.

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.