Jean Baleke Apata Timu Afrika Kusini.... - IDDYNATION SITE

Breaking News

Jean Baleke Apata Timu Afrika Kusini....

 



Klabu ya AmaZulu FC ya Afrika Kusini imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa kutoka DRC, Jean Baleke!

Mchezaji huyo amesaini mkataba rasmi baada ya kusafiri hadi Afrika Kusini kukamilisha makubaliano.

AmaZulu wanajiongezea nguvu kwenye safu ya ushambuliaji!

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.