Wolper apata mrithi wa Harmonize
Usiku
wa jana mrembo huyo aliandika katika mtandao huo wenye watumiaji wengi
zaidi dunia kuhusu mapenzi jambo liliwafanya mshabiki zake kuhisi
huwenda bibie amepata mpenzi mpya.
“Mapenzi
ni nini kwani pamoja na yote lkn m2 unarudi pale pale haya mambo
ayajawah kumuacha m2 salama basi natamani kupost ata kifua Nashindwa
naogopa #why? Why?,” ameandika Wolper.
No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.