NEWS | Ray Vanny akamilisha collabo yake na Jason Derulo
Siku chache zilizopita Ray Vanny alinyakua tuzo ya BET katika kipengele
alichokuwa anashindania. Hitmaker huyo wa Zezeta, ambaye yuko chini ya
label ya WCB, amefanikiwa kukamilisha kufanya collabo na Jason Derulo
kutoka Marekani.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ray ameweka picha akiwa studio na
msanii huyo na kuandika, “God bless you my brother @jasonderulo its
amaizing opportunity,am so grateful for that……… Toka Saa 8 Usiku amekaa
na mimi hadi Asubui… Studio kulikua na Watoto wakaaaaaliiiii
lakini
kawacha waondoke sababu walichoka kukaa studio yeye kabaki na sisi tu.
Naamini kilichofanyika Mtakipenda. Thanks boss @afrikidd @babutale.”
No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.