
ISRAEL PATRICK MWENDA NA MUDA
Israh patrick Mwenda anatukumbusha kitu kikubwa sana kuhusu Muda na Imani ikitokea sehemu flani huaminiki sana haimaanishi wewe ni wa kawaida ama hufai bali jibu huwa haupo kwenye mpango wao.
Uzuri wa muda huwa haudanganyi, Patrick Mwenda baada ya kutoka Simba akaendazake Singida Black Stars hakupata nafasi ya kucheza sana pale, Yanga SC wakamuchukia kwa mkopo, Mpaka sasa kila kitu kipo upande wake.
Ameficha kabisa kukosekana kwa Yao Kouassi mbavu ya kushoto pale Young Africans
Mambo ni mazuri upande kwake yupo kwenye form nzuri + uwezo wa kikosi cha Young Africans kucheza kitimu zaidi.
Muda huwa unaongea ukweli kuliko maoni ya watu juu ya mtu kwenye kazi yake.